
Mserbia aliyekuwa anakipiga mnamo klabu ya Simba Nchini Tanzania @dejangeorgijevic amefunguka yafuatayo kupitia kurasa za akanti zake za mitandao ya kijamii;
“Ninathibitisha kwamba Mkataba wangu wa Ajira umesitishwa kwa sababu za haki kutokana na ukiukwaji wa kimsingi wa Mkataba na Klabu.
Asanteni mashabiki kwa support na upendo mlionipa.
Kwaheri
“



“I confirm that my Contract of Employment is terminated with just cause due to the fundamental breaches of the Contract by the Club.
Thank you fans for the support and love you have given me”.
Good bye



