Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Club ya Real Madrid ya Hispania Karim Benzema ameshinda Tuzo ya Ballon d’Or ya Mchezaji Bora wa Dunia, Tuzo hizo zinafanyika nchini Ufaransa.
MO DEWJI AIWAKIA VUNJABEI KUONDOSHA MATANGAZO YA MO JEZI MPYA
Mkurugenzi wa Makampuni ya METL Group na Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji MO kupitia ukurasa wa Twitter wa...
Read more