Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amekutana na Chama cha wazee wanaume Novemba 1, 2022 kujadili namna bora ya kuboresha huduma za afya, hususani zinazohusu wazee katika vituo vya kutolea huduma hapa nchini.
BREAKING NEWS: AJALI YAUWA WATU 12 HUKU 50 WAJERUHIWA
Watu 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni...
Read more