Gwiji wa soka wa hapo zamani ambaye kwa sasa ni Rais wa Shirikisho la soka la Cameroon, Samuel Eto’o ametabiri kwa maoni ya upande wake kuwa Fainali ya Kombe la Dunia mwaka huu. Eto’o amesema Fainali ya mwaka huu itakuwa ni kati ya Taifa lake la Cameroon dhidi ya Morocco ambapo Cameroon ndio watakaoibuka mabingwa wa michuano hiyo.
MO DEWJI AIWAKIA VUNJABEI KUONDOSHA MATANGAZO YA MO JEZI MPYA
Mkurugenzi wa Makampuni ya METL Group na Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji MO kupitia ukurasa wa Twitter wa...
Read more