Kupitia kurasa za Mitandao ya kijamii ya Mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi cha Wasafi FM @divatheebawse ametoa ushauri kwa wanaume wengine Baada ya @zamaradimketema Kupewa Zawadi Ya Gari Na Mume Wake…………………………. ”My zama @zamaradimketema hongera sana …Mitano tena kwa shemejii
💖💖
Hivyo amefunguka kama ifuatavyo;
Ps “wanaume na Mliokuwa katika Ndoa jifunzeni kuwanunulia wake zenu na wapenzi wenu zawadi , Jifunzeni kuwapenda kuwafanyia saplaiz na kuwafanya wawe na amani furaha na upendo na muwape heshima inayostahili , Hili ni Funzo sana ….. Mjifunze .. love is beautiful love wins .. always”
💕”