Mwanamuziki mahiri wa muziki wa kizazi kipya Ibraah @ibraah_tz kutokea Labal ya Konde Music Worldwide hapa nchini, kupitia Album yake TheKingOfNewSchool yenye jumla ya Ngoma 17 iliotoka rasmi Julai 1 mwaka huu, imefanikiwa kufikisha jumla ya Streams Milioni 12 katika Mitandao yote Album Hiyo inapopatikana. Kutokana a hilo ametoa shukani zake za dhati kwa wafuasi na wanaompa nguvu ya kuendeleza Sanaa yake ya Muziki.
Msanii huyo amedhihirisha hilo kupitia IG Yake kwa kuandika kwamba ……………….”I sincerely appreciate every moment of My Life Because This Life is a Gift from God, And through the pain Comes Voices and with instruments comes Music Yet I can’t find a best way of Saying thank you for 12 Million Streams ♥️✌️ #Kingofnewschool👑 #kondegang4everybody🌎”