Mchezaji anayekipiga mnamo klabu ya Simba, Mzamiru Yasini aliibuka mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Mashabiki baada ya kura kupigwa kwa Wachezaji watatu walikuwa katika kinyanganyilo hicho. Hivi karibuni amepewa Tuzo na Mfano wa Hundi ya Pesa Taslim Shilingi Milioni 2. Mchezaji huyo alionyesha kuwa bora zaidi katika mwezi huo Oktoba kwa kufunga na kutoa Assist kadhaa kwa Wachezaji wengine.
MO DEWJI AIWAKIA VUNJABEI KUONDOSHA MATANGAZO YA MO JEZI MPYA
Mkurugenzi wa Makampuni ya METL Group na Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji MO kupitia ukurasa wa Twitter wa...
Read more