Kampuni ya Mawsiliano Vodacom Tanzania yaibuka kinara na Tuzo mbili kwenye Consumer Choice Awards zikiangukia katika vinyanganyilo vifuatavyo Vihusianavyo na utoaji wa huduma zake, “Most preferred quality and speed Internet service provider” na “Most Reliable and Quality Network Telecom Service Provider of The Year”
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Wami, Harold Lambileki (kushoto) akimkabidhi kadi ya pikipiki mshindi wa Pikipiki katika droo...
Read more