Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA yasisitiza matumizi ya Nenosiri (nywila) imara ili kumsidia mtu kusalia salama (kujihakikishia usalama) katika matumizi ya mtandao. Hii ni kutokana na uwepo matukio yahusishwao na uhalifu mitandaoni ambapo mtu baki anaweza tumia taarifa zako au kuingilia uhuru wako pasipo kutoa idhini (hiari) yako na kukupelekea wewe kuwa hatarini kama vile kuhusishwa moja kwa moja na matukio ya kialifu au makosa ambayo kisheria unaweza kuhukumiwa.
UAE YATOA DOLA MIL. 100 KUSAIDIA WAHANGA WA TETEMEKO, UTURUKI
Rais wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, ameagiza dola milioni 100 zitolewe kwa ajili ya...
Read more