Bondia Maarufu wa Ngumi za Kulipwa karim Mandonga (Mandonga Mtu Kazi) ametajwa kuwa miongoni mwa Mabondia watakaocheza Mapambano ya Utangulizi katika pambano jipya la Kimataifa la Ngumi za Kulipwa kwa pambano lifahamikalo kama MO GREEN VITASA NIGHT linalomhusisha Bondia Twaha Kiduku na Bondia kutokea Nchi za nje lililoandaliwa hapa nchini ambalo litafanyika mkoani Morogoro (Mji Kasoro Bahari). Bondia huyo atazichapa dhidi ya Bondia Said Mbelwa.
NMB kupeleka washindi 8 Dubai kupitia Droo ya ‘Grand Finale’
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Wami, Harold Lambileki (kushoto) akimkabidhi kadi ya pikipiki mshindi wa Pikipiki katika droo...
Read more