Wachezaji 10 ambao ni vinara wa mabao kwa mechi zilizokwishachezwa kabla ya Novemba 18 katika michuano ya Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara ni kama ifuatavyo;
- SIXTUS SABILO Akiwa na Idadi ya jumla ya magoli 7 Kutokea Mbeya City
- MOSES PHIRI Akiwa na Idadi ya jumla ya magoli 6 kutokea Simba SC
- FISTON MAYELE Akiwa na Idadi ya jumla ya magoli 6 kutokea Yanga SC
- IDRIS MBOMBO Akiwa na Idadi ya jumla ya magoli 6 kutokea Azam FC
- FRELIANTS LUSAJO Akiwa na Idadi ya jumla ya magoli 6 kutokea NAMUNGO FC
- FEISAL SALUM Akiwa na Idadi ya jumla goli 4 kutokea Yanga SC
- MOUBARACK AMZA Akiwa na Idadi ya jumla ya goli 4 kutokea COASTAL UNION
- ANUARY JABIR Akiwa na Idadi ya jumla ya goli 4 kutokea KAGERA SUGA FC
- MATHEO ANTHONY Akiwa  na Idadi ya jumla ya goli 4 kutokea KMC FC
- ABALKASIM SULEIMAN Akiwa na Idadi ya jumla ya goli 4 kutokea RUVU SHOOTING