Kwa mujibu wa Jarida la Forbes linawataja Mabilionea hawa 10 wakiongoza kwa umiliki mkubwa zaidi duniani kwa musimu huu, Unaweza tazama mtililiko wake kwa kumtambua mmiliki, nafasi aliopo, Kiasi cha thamani ya pesa anayomiliki, mahali anapopatikana, aina ya biashara anayoifanya (Kampuni) na kinyang”anyilo (Category);
Mtililiko: Nafasi,Jina,Umiliki,Nchi,Biashara, Kinyang’anyilo
1. Elon Musk $219 B Marekani Tesla, SpaceX Magari
2 .Jeff Bezos $171 B Marekani Amazon Teknolojia
3. Bernard Arnault& Family $158 B Ufaransa LVMH Mitindo na Rejareja
4. Bill Gates $129 B Marekani Microsoft Teknolojia
5. Warren Buffett $118 B Marekani Berkshire Hathaway Finance & Investments
6. Larry Page $111 B Teknolojia ya Google ya Marekani
7. Sergey Brin $107 B Marekani Google Technology
8. Larry Ellison $106 B Marekani software Technology
9. Steve Ballmer $91.4 B Marekani Teknolojia ya Microsoft
10. Mukesh Ambani $90.7 B India Diversified Diversified