Ilikuwa mnamo Oktoba,2022 pale Waziri mkuu Kassim Majaliwa alipoweza kutembelea na kukagua maendeleo ya Matengenezo ya Treni ya Kisasa nchini Korea ambayo itakayotumika katika Reli iliyojegwa hapa nchini SGR.
Taarifa iliyofuata ni kuhusu ujio wa Mabehewa ya Treni hio wa kisasa. Hapo jana mabehewa kayameanza kupokelewa nchini kupitia bandari ya jijini Dar es Salaam.