WAKATI wa maadhimisho ya siku ya mlipakodi nchini yameadhimisha Mwezi huu nchini kote mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Iringa imekabidhi tuzo ya mlipaji kodi bora mkubwa kampuni Ya ASAS inayohusika na Uzalishaji, Uuzaji na Usafirishaji wa Bidhaa za Maziwa na Nyinginezo.
Picha: Mkurugenzi wa Asas @ahmed.s.asas akipokea Tuzo hiyo.