
Mshambuliaji wa Argentina na PSG, Lionel Messi anawaniwa na klabu ya Inter Miami inayoshiriki ligi kuu ya MLS nchini Marekani ambayo, kwa sasa ipo ukingoni kufikia makubaliano ya kumsajili na kumkufanya kuwa mchezaji atkayelipwa ghali zaidi katika historia ya MLS.
Messi anatarajiwa kujiunga na klabu hiyo inayomilikiwa na David Beckham mara baada ya kukamilika kwa msimu huu (via TimesSport)