
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa tuzo ya heshima kwa wadau mbalimbali kutokana na michango yao katika kada ya uwekaji wa kumbukumbu na nyaraka mara baada ya kufungua mkutano wa 10 wa Chama cha Menejimenti na Kumbukumbuku na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) uliofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) tarehe 27 Novemba, 2022.

The President of the Republic of Tanzania, Hon. Samia Suluhu Hassan presenting an award of honor to various stakeholders for their contributions in the cadre of record keeping and documents immediately after opening the 10th meeting of the Management Party and Ku. Memories and documents Tanzania (TRAMPA) that was done at the station. Arusha International Conference (AICC) on 27th November, 2022.