Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar, Jamali Kassim Ali, akimkabidhi Tuzo Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo (kulia), baada ya kuibuka washindi wa kwanza wa uandaaji wa hesabu kwa mwaka 2021 katika kundi la Taasisi za Fedha. Tuzo zimetolewa na Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA).
Minister of State, Office of the President, Zanzibar, Jamali Kassim Ali, presenting an award to the Chief Finance Officer of CRDB Bank, Fredrick Nshekanabo (right), after emerging the first winners of the preparation of accounts for 2021 in the group of Fe Institutions. It’s a good idea to have a good time. Awards presented by the Board of Accountants and Auditors (NBAA).\n