Rais wa Afrika Kusini ambaye bado anakabiliwa na tuhuma za ubadhilifu, Cyril Ramaphosa amewasilisha ombi lake la kisheria la kutaka ripoti ambayo inaweza kusababisha kushtakiwa kwake kwa uwezekano wa yeye kufanya vitendo vya utovu wa nidhamu kubatilishwa.
META KUZIACHIA HURU AKANTI ZA TRUMP
Kampuni ya Meta imetangaza kufungua akaunti za Facebook na Instagram za Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump zilizokuwa zimefungwa...
Read more