Bunge la nchini Peru limetoa maamuzi ya kumuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na makamu wa Rais Dina Boluarte baada ya Rais huyo kufanya jaribio la kuvunja bunge la nchi hiyo
MPINZANI WA TRUMP KUANZA KAMPENI KUPITIA TWITTER
Gavana wa jimbo la Florida nchini Marekani Ron Desantis aanza kampeni zake za kugombania Urais wa nchi hiyo katika uchaguzi...
Read more