TAKUKURU wilayani Muheza imewapa elimu yenye tija Wanufaika wa Fedha zinazotolewa na Serikali kupitia mradi wa TASAF ili waweze jiepusha au kuepusha makosa yatakayowafanya wajihusishe na utoaji au upokeaji Rushwa ambao ni kosa kisheria.
Imewafungua kuwa…….”Serikali imewekeza fedha nyingi sana katika mradi huu kwa ajili ya kuwanufaisha kaya maskini na pia kujiinua kiuchumi. Hivyo mkawe mstari wa mbele kukataa vitendo vya Rushwa katika mradi huu.”TAKUKURU MUHEZA Disemba 6, 2022.