Makocha wapatao kumi na nne kutokea Tanzania Bara na Zanzibar wameenda nchini Marekani katika mji wa Philadelphia kwaajili ya mafunzo ya wiki mbili yaliyodhaminiwa na serikali ya Marekani kwa ushirikiano na serikali ya Tanzania kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT)
Hii ni moja ya fursa muhimu kwa Taifa kupitia muhimili wa Wizara ya michezo kuongeza Wigo wa Kukuza Uchumi kpitia Sekta hio.