Kocha wa zamani wa Ubelgiji mwenye asili ya nchini Uispania, Roberto Martinez ametauliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Ureno baada ya kuachana na kocha Fernando Santos.
Martinez ambaye alidumu na Ubelgiji kwa miaka 6 aliachia ngazi hivi karibuni kufuatia kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia