Mrimbwende, mwanamitindo na mwanzilishi wa @afliifoundation kutokea hapa nchini @lola_mziwanda tayali yupo nchini Nigeria kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya @Missafricagolden.
Kwa sasa anatazamia zaidi Watanzania kumsupport kwa kumpigia kura za kutosha ili aweze kurudi na ushindi ambapo akishinda yeye kama muwakilishi inakuwa taifa limeshinda.
Mwanamitindo huyo akiwa anadhihirisha nia ya dhati ya kudumisha uzalendo kwa nchi yake, amejitoa kwa kuipenda kazi yake ambayo inaendelea kumpatia mafanikio makubwa kila pachao na kufanya azidi kuwa mtu maarufu zaidi duniani.@basata.tanzania
@fulltanktank
@afliifoundation
@missafricagolden