@rubynah_bnt_salum ameandika….. “Kila Kitu ni Subrah Nakuombea Subrah Mume wangu…Nakuombea Utulivu na Hekma kipenzi changu…
Usijaribu kumjibu yoyote Kwanzia Sasa…Endelea kuwa na kifua kipana na hili litapita muda sio mrefu…Wewe ni Mwanamme Jasiri mno na ndio maana neno lako kwa kila anaekutukana unaniambia Tumuachie Mungu…Basi na hili Muachie Mungu Kuwa Kimya Endelea Na Majkum Yako Ya KaziYana Muda basi…? Dunia hii hii ndio itaongea ukweli siku chache zijazo…Usijali abadan…Endelea Kujali Familia Yako Na mambo Yako tu…Acha Haya Yanayo Endelea Sasa Acha…Umesema Umejifunza Sasa Inatosha Fanya Vitendo Tu Mengine Muachie Allah..”

Nakupenda mno na nipo Kwa ajili yako leo na kesho yake My Husband ❤️❤️❤️ @hajismanara
@hajismanara ameandika Verified, Nakushukuru sana Mke wangu na nimesikia neno lako,,sijibu lolote na uzuri wake sio ya kudumu,,yatapita na mm ntaendelea kuhifadhi ya sirini,,
Nakupenda mke mwema 🙏🏻❤️
Nakupenda mke mwema 🙏🏻❤️