Timu ya Taifa ya Morocco ambayo ni bingwa mtetezi wa michuano ya CHAN imetangaza rasmi kuwa haitoshiriki mashindano hayo baada ya serikali ya Algeria kukataa timu hio kusafiri kwa ndege ya moja kwa moja hadi Constantine ambako mechi zao za makundi zingefanyika.
Morocco ndiyo Timu iliyoweza cheza hadi kufikia michuano ya Nusu Fainali na kuweka historia kwa mwaka 2022 kwa Bara la Afrika kufikia Ndoto yake ya kutwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia miaka kadhaa Baadae.