Ikiwa masaa kadhaa hapo nyuma Klabu ya Simba imetoka kuwatambulisha wachezaji wake wapya ambao wamesajiliwa kupitia sajili za dirisha dogo moja ya shabiki wa klabu hio amesema ya moyoni kuhusiana na Sajili hizo.
Kupitia moja ya kipindi kinachohusu michezo KIPENGA XTRA cha East Africa Radio, moja ya Shabiki wa @SimbaSCTanzania Mejja amefunguka kuwa klabu yake hiyo haijafanya usajili wa maaana kwenye dirisha hili dogo ila labda wamesajili kuifunga @yangasc1935 kwenye ligi.