Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. John Simbachawene amekutana na bondia Mtanzania Karim Mandonga na kumpongeza kwa ushindi wake dhidi ya bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi katika pambano lililofanyika jumamosi nchini Kenya.
Bondia huyo kutokea nchini Tanzania amedhidi kuwa Maarufu zaidi kutokana na tambo na pia aina ya Mbebwe zake anazopenda kuzionyesha akiwa katika Ulingo.
Alianza kukusnya kijiji cha Mashabiki wengi hasa Wanawake wa nchini Tanzania hivyo kimzahamzaha amefanya lakini sifa hio imeendelea kumjenga na kuonekana anaimarika zaidi ya jana.