Emma Sulkowicz ambaye alikuwa mwanafunzi Chuo Kikuu cha Columbia mwaka 2015 alibakwa na mwanafunzi mwenzake chumbani. Baada ya malalamiko yake kutofanyiwa kazi aliamua kutembea na Godoro lililotumika katika ubakaji huo popote aendapo ikiwemo siku ya mahafali yake.
Ikiwa ni tukio ambalo linahusisha ukatili wa kijinsia moja kwa moja binti huyo anaonekana kukumbwa na changamoto ya kisaikolojia kwa kukubwa na msongo wa mawazo ambayo humfanya achukue maamuzi ya aina hio akiamini atapunguza kazia hio iliyokwisha mkumba.