Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika CAF, Patrice Motsepe amempongeza Wallance Karia kwa kuchaguliwa tena kuwa Rais wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).
MO DEWJI AIWAKIA VUNJABEI KUONDOSHA MATANGAZO YA MO JEZI MPYA
Mkurugenzi wa Makampuni ya METL Group na Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji MO kupitia ukurasa wa Twitter wa...
Read more