Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMh Dkt, Isdor Mpango @dr_mpango ameweka Jiwe la Msingi katika Mradi wa Maji wa Ziwa Victoria utakaohudumia Tinde na Shelui unaogharimu shilingi bilioni 24.4 leo tarehe 19 Januari 2023
Ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa ilani ya serikali, miradi hiyo imeendelea kutekelezwa kwa kasi ili kuweza kukizi mahitaji ya wananchi wanakabiliwa na uhaba wa maji hapa nchini