ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, February 9, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    BREAKING NEWS: AJALI YAUWA WATU 12 NA 50 WAJERUHIWA

    UAE YATOA DOLA MIL. 100 KUSAIDIA WAHANGA WA TETEMEKO, UTURUKI

    MUSWADA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE KIKWAZO TENA

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Februari 9,2023

    KOPYUTA MPAKATO YALIPUKA NDANI YA NDEGE

    KOPYUTA MPAKATO YALIPUKA NDANI YA NDEGE

    GOLIKIPA TIMU YA TAIFA UTURUKI AKUTWA AMEFARIKI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

NBC YASHIRIKI UWEKAJI WA  JIWE LA MSINGI  UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR) KIPANDE CHA NNE TABORA – ISAKA

iamkrantz by iamkrantz
January 20, 2023
in NEWS, SPORTS
Reading Time: 2 mins read
A A
0
NBC YASHIRIKI UWEKAJI WA  JIWE LA MSINGI  UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR) KIPANDE CHA NNE TABORA – ISAKA
0
SHARES
7
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Makamu wa Rais Dk Phillip Mpango akisikiliza maelezo ya ushiriki wa benki ya NBC katika ujenzi wa Reli ya kisasa(SGR) kutoka kwa Meneja wa benki ya NBC Tawi la Kahama. Simon Ntwale. wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa kipande cha nne kutoka Tabora hadi Isaka mkoani Shinyanga uliofanyika eneo la Isaka.
Wafanyakazi wa NBC wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa ujenzi wa kipande cha nne kutoka Tabora hadi Isaka mkoani Shinyanga uliofanyika eneo la Isaka.
Makamu wa Rais Dk Phillip Mpango akisikiliza maelezo ya ushiriki wa benki ya NBC katika ujenzi wa Reli ya kisasa(SGR) kutoka kwa Meneja Mahusiano Biashara Taasisi za Serikali Charles Gibore, wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa kipande cha nne chenye urefu wa KM 165 kutoka Tabora hadi Isaka mkoani Shinyanga uliofanyika eneo la Isaka.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa pamoja na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serikali akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Kipande cha nne Tabora – Isaka yenye urefu wa Kilometa 165 katika hafla iliofanyika Isaka Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga .

Wananchi wakifuatilia hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa pamoja na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serikali wakati wa hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Kipande cha nne Tabora – Isaka yenye urefu wa Kilometa 165 katika hafla iliofanyika Isaka Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga .

Na Mwandishi wetu.

Katika kufanikisha miradi mbalimbali ya kimkakati Benki ya Taifa  Biashara  ya Taifa  (NBC) imetoa ahadi ya  kuwa mstari wa mbele kwenye kutoa ushirikiano kwa Serikali na Wakandarasi ili kuhakikisha miradi inayojengwa kwa manufaa ya Watanzania inakamilika kwa wakati. Benki ya NBC  imeshiriki  hafla ya uwekaji jiwe la msingi Ujenzi wa wa Reli ya Kisasa (SGR) Kipande cha nne Tabora – Isaka iliyofanyika wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa hafla hiyo  ameitaka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Bodi ya Wakurugenzi na Wafanyakazi wa TRC kuendelea kutimiza wajibu wao wa kusimamia vizuri utekelezaji wa miradi ya kimkakati ili iweze kukamilika kwa wakati na ubora unaotakiwa. Aidha ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata wanaohujumu mradi wa Reli ya kisasa ya SGR.

“Naviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kubaini mtandao wa wizi kwenye mradi wa SGR kuwakamata wote na kuwachukulia hatua kali za kisheria” amesema Dk Mpango

Kwa upande wake Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji  wa  benki ya NBC Bw. Simon Ntwale amemweleza DK Mpango namna benki hiyo inavyoshiriki kikamilifu katika ujenzi huo wa mradi mkubwa, wakati alipotembelea banda la benki hiyo.

“Sisi benki ya NBC tumeshiriki kikamilifu katika kumuwezesha mkandarasi Yapi Merkezi kununua mitambo ya kufanyia ujenzi huo pia tumewezesha zoezi la ulipaji fidia kwa wanaopitwa na mradi huu” amesema Ntwale

Akaongeza kuwa kwa upande mwingine wamewezesha ununuzi wa vichwa na mabehewa ya kisasa kwa ajili ya mradi huo.

Awali akitoa taarifa za Ujenzi wa Mradi huo Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa amesema uwezo wa kubeba mizigo kupitia reli ya kisasa utakua ni tani 120 kwa behewa ikiwa ni mara tatu ya reli ya sasa yenye uwezo wa kubeba tani 40 kwa behewa. Aidha amesema kupitia ujenzi huo,TRC inatarajia kuboresha chuo cha reli kilichopo Tabora na kuweza kutoa shahada ya uandisi katika reli mara baada ya kukamilika.

Vilevile amesema TRC imeendelea kuokoa gharama kwa kiasi kikubwa kupitia mikataba ya ujenzi wa reli ambayo hairuhusu ongezeko la gharama kutoka kwa mkandarasi kutokana na mabadiliko ya bei za vifaa na malighafi.

Mwisho.

ADVERTISEMENT
Previous Post

NIYONZIMA ATIMKIA UARABUNI

Next Post

Waziri Mkuu wa New Zealand Atangaza Kujiuzulu

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

BREAKING NEWS: AJALI YAUWA WATU 12 NA 50 WAJERUHIWA

BREAKING NEWS: AJALI YAUWA WATU 12 NA 50 WAJERUHIWA

by ALFRED MTEWELE
February 9, 2023
0

Watu 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni...

Read more
UAE YATOA DOLA MIL. 100 KUSAIDIA WAHANGA WA TETEMEKO, UTURUKI

UAE YATOA DOLA MIL. 100 KUSAIDIA WAHANGA WA TETEMEKO, UTURUKI

February 9, 2023
MUSWADA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE KIKWAZO TENA

MUSWADA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE KIKWAZO TENA

February 9, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Februari 9,2023

February 9, 2023
MO DEWJI AIWAKIA VUNJABEI KUONDOSHA MATANGAZO YA MO JEZI MPYA

February 8, 2023
KOPYUTA MPAKATO YALIPUKA NDANI YA NDEGE

KOPYUTA MPAKATO YALIPUKA NDANI YA NDEGE

February 8, 2023
Load More
Next Post
Waziri Mkuu wa New Zealand Atangaza Kujiuzulu

Waziri Mkuu wa New Zealand Atangaza Kujiuzulu

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

February 6, 2023
Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

August 18, 2022
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

February 7, 2023
KOPYUTA MPAKATO YALIPUKA NDANI YA NDEGE

KOPYUTA MPAKATO YALIPUKA NDANI YA NDEGE

February 8, 2023
BREAKING NEWS: AJALI YAUWA WATU 12 NA 50 WAJERUHIWA

BREAKING NEWS: AJALI YAUWA WATU 12 NA 50 WAJERUHIWA

February 9, 2023
UAE YATOA DOLA MIL. 100 KUSAIDIA WAHANGA WA TETEMEKO, UTURUKI

UAE YATOA DOLA MIL. 100 KUSAIDIA WAHANGA WA TETEMEKO, UTURUKI

February 9, 2023
MUSWADA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE KIKWAZO TENA

MUSWADA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE KIKWAZO TENA

February 9, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Februari 9,2023

February 9, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In