Kiungo mkali aliyewahi kuzitumikia Simba na Yanga Haruna Niyonzima amelamba dili la kucheza soka uarabuni .
Habari zinadhihirisha kuwa amejiunga na klabu ya Al-Tawoon akitokea As Kigali, huku akiripotiwa kusaini dili la mwaka mmoja na nusu.
Kiungo huyo mara ya mwisho alikuwa anaitumikia Yanga kabla ya kutimkia kwao Rwanda