Benki ya NMB ikiwa inatambua kwa dhati umuhimu wa Sekta ya Afya kwa maendeleo ya jamii, imeungana na Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kutoa msaada wa vifaa tiba kwa Kituo cha Afya cha Mkonoo ambavyo ni;


Aidha, kwa Kituo cha Afya Levolosi benki hio imekabidhi Mabenchi 20 ya kusubiria huduma (waiting area) ili kusaidia uboreshaji wa utoaji huduma ya afya.
Msaada huu umepokelewa na Naibu Waziri wa Afya – Mhe. Dkt. Godwin Oloyce Mollel na kuwakilishwa na Afisa Mkuu Benki ya NMB wa Huduma Shirikirishi – Nenyuata Mejooli, Meneja wa Kanda ya Kaskazini, Dismas Prosper na wafanyakazi wengine.