
Benki ya NMB ikiwa katika kuunga mkono juhudi za serikali kwenye sekta ya elimu, imekabidhi msaada wa jumla ya Tsh Mil. 24 kwa Shule ya Msingi Maji Matitu na Shule ya Sekondari Charambe.
Msaada huu ni:


Msaada huu umepokelewa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke – Mhe. Abdallah Mtinika na mwakilkishi kutoka benki hio Kaimu Meneja Mkuu wa Kanda ya Dar es salaam – Kidawa Masoud.