Leo mapema ya Januari 25, 2023 Kupitia Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ripoti inayohusu uteuzi wa Wakuu wa Wilaya wapya kabisa, na kutangaza Wakuu wa wilaya waliohamishwa vituo vyao vya Kazi pamoja na wengine kutajwa kusalia katika vituo walipo.
Mtiririko ufuatao unaonyesha orodha ya majina ya wakuu wa Wilaya hao kulingana na upangiwaji wa vituo vyao vya kazi;