Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye ametangaza kuwa laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa kutumia vitambulisho vya wengine zitafungiwa rasmi ifikapo Februari 13 saa 10 jioni.
Akizungumza kupitia mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dodoma aeleza nia ya serikali kuondoa kabisa matapeli katika mfumo wa mawasiliano hapa nchini.
“Wale wenye laini kahakikini kama unazo laini nne au tano hsakiki zote vinginevyo ambazo hazijahakikiwa zitafungwa na hakutakuwa na muda wa nyongeza, tunadhani tukomeshe hii tabia ya utapelui Amesema
Aidha Waziri Nnauye amesema takwimu za Januari 19, 2023 inaonesha kuwa jumla ya laini za simu sinazotumika nchini Tanzania ni 60,739,790 na laini zilizohakikiwa ni 58,432,669 sawa na asilimia 96 huku laini zisizohakikiwa zikiwa 2,307,121 sawa na asilimia 3.8