Mashirika yapatayo 4898 yasio ya Kiserikali yaripotiwa kufungiwa kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kutokana na ukiukwaji wa sheria na kanuni za uendeshaji wa mashirika hayo.
WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA
Msemaji wa Ikulu ya Marekani Karine Jean-Pierre ameonya Wabunge wa Bunge la Uganda kwamba vikwazo vitakavyowazuia kufanya biashara na Marekani...
Read more