Manchester United inaweza kutoa ofa ya pauni milioni 105 kwa mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen lakini uhamisho wa mshambuliaji huyo wa Nigeria mwenye umri wa miaka 23 huenda hautafanyika hadi msimu wa joto. (Soccer News – In Dutch)
United pia wanatazamia kuwatuma mshambuliaji wa Uingereza Charlie McNeill, 19, mlinzi wa Uholanzi Bjorn Hardley, 20, na mlinzi wa Uingereza Di’Shon Bernard, 22, kwa mkopo katika dirisha la uhamisho la Januari. (Manchester Evening News)