RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu amesisitiza uwezeshwaji wa Vijana katika masuala ya Umiliki wa Ardhi.
Yameelezwa hayo baada ya Rais Samia kushiriki mkutano wa kilimo na chakula uliofanyika katika mji wa Dakar nchini Senegal mnamo tarehe 26,2023
Aidha amebainisha uwepo wa fursa kwa vijana wataojitokeza kujiandikisha ili wapitie mafunzo ya Miezi mitatu kisha wapewe sehemu ya ARDHI.