Wizara ya Afya katika kuhitaji kuboresha namna ya utoaji wa huduma zake imetoa fursa ya nafasi za makarani 12 wa kusimamia miradi iliyopo chini ya Wizara hio.
Aidha wizara hio imeainisha sehemu ya sifa za mtu atakayehitaji kupata nafasi hio kwa muda maalum uliokusudiwa.