Msanii Marioo amemshukuru sana Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Mh. Dkt Jakaya Kikwete baada ya kukubali mwaliko na kuhuzulia Hafla ya maonesho ya Album yake ya kwanza inayoenda kwa jina la “THE KID YOU KNOW” uliofanyika siku ya Jumapili Januari 29,2023 ndani ya eneo la M,limani City jijini Dar es Salaam.
Marioo amesema hayo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kwamba ……….”Nichukuwe fursa hii kumshukuru rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete @jakayakikwete Uwepo wake ulikuwa na Maana kubwa sana kwangu
“
SAUTI SOL YATANGAZA KUVUNJA KUNDI
Kundi la Sauti Sol kutokea nchini Kenya limetangaza kuwa litasitisha kufanya kazi pamoja kama kundi kwa muda usiojulikana baada ya...
Read more