Baada ya klabu ya Simba kukamilisha zoezi zima la uchaguzi wa Viongozi kupitia mkutano mkuu ulioitishwa na klabu hio mnamo Januari 29,2023, ikamaliziwa na kutangaza matokeo ya ushindi kwa nafasi za uongozi wenye nyadhifa tofauti.
Murtaza Mangungu akaibuka mshindi tena katika nafasi ya Uenyekiti katika klabu hio.
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania halikuwa na budi kutoa pongezi za dhati kwa kiongozi huyo kuibuka tena kinara na kuaminika tena na Wanasimba kwa mara nyingine tena