ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Friday, March 24, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

    WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

    UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

    UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

    ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

    ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

    NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

    NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Machi 23,2023

    RAIS WA ZAMBIA ANYESHEWA AKIKAGUA GWARIDE

    RAIS WA ZAMBIA ANYESHEWA AKIKAGUA GWARIDE

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
February 2, 2023
in NEWS
Reading Time: 6 mins read
A A
0
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke
0
SHARES
9
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
May be an image of 2 people, motorcycle, street, sky and roadJUMLA ya Sh bilioni 213 zimetumika kuboresha sekta ya afya, miundombinu na michezo katika Manispaa ya Temeke kupitia Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP).
Mradi huo wa awamu ya kwanza unaotekelezwa na DMDP chini ya usimamizi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa (TAMISEMI), umewezesha ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomota 96 kwa kiwango cha lami na zege pamoja na ujenzi wa masoko sita ya kisasa.
Pia umewezesha ujenzi wa vituo vitatu vya mabasi, viwili vilivyopo Kijichi na Mbagala kuu vimekamilika ilihali kimoja kilichopo Buza kikitarajiwa kukamilika Februari mwaka huu.
Akizungunza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo tarehe 31 Januari 2023 katika ziara ya kutembelea miradi hiyo, Kaimu Mratibu Msaidizi wa DMDP, Adelhard Kweyamba amesema jumla ya Sh bilioni 197 sawa na asilimia 92 ya fedha za miradi hiyo, zimeshafanyiwa malipo.
Akifafanua kuhusu miradi hiyo, Kweyamba amesema katika masoko hayo sita, matano kati yake yameshakamilika huku soko moja linalojengwa katika eneo la Mbagala Zakhem likitarajiwa kukamilika mwishoni mwa Februari mwaka huu.
Amesema kuhusu ujenzi wa vituo vitatu vya mabasi, viwili kati ya hivyo ambavyo vipo Kijichi na Mbagala kuu vimekamilika huku kimoja kilichopo Buza kikitarajiwa kukamilika Februari mwaka huu.
“Katika mradi huu tuna kilomita 15 za mifereji ambayo inapita kwa wananchi kuwapunguzia adha ya mafuriko. Pia tumejenga bwawa lililopo Chang’ombe ambalo linakusanya maji na kuyatoa taratibu na kuyapeleka baharini.
Bwawa hili limesaidia kupunguza mafuriko kwa wakazi wa eneo hilo pamoja na wanafunzi wa Kibasila ambao sasa hawakwami tena kuongia darasani kutokana na mvua.
“Pia tumejenga kiwanja cha mpira kilichopo Makangarawe pamoja na Mwembeyanga ambavyo vinawasaidia wananchi wa huko kufanya mazoezi. Tumejenga Kituo cha afya kimoja Buza.
“Lakini Ili kuweka jiji safi tumenunua magari 20 ya kubeba taka na makontena 65 ambayo watu wanaweka takataka zao ndipo magari yanachukua na kupeleka Pugu Kinyamwezi,” amesema.
Aidha, amesema mradi huo pia umefanikisha ujenzi wa barabara mpya ya lami ambayo inafungulia wananchi wa Temeke, Charambe kuwawezesha kwenda Uwanja wa Ndege bila kupita barabara ya Mandela na kukumbana na foleni.
Amesema barabara hiyo yenye urefu wa km 7.6, imelandana na ujenzi wa daraja na makalavati sita katika eneo la Kwa Mparange lakini pia ujenzi unahusisha stendi mpya ya Buza ambavyo vyote vimegharimu Sh bilioni 19.
Pamoja na mambo mengine amesema miradi hiyo imeongeza ufanisi na kuwezesha wa sehemu ambazo zilikuwa hazifikiki sasa zimefikika kwa urahisi.
“Mfano mifereji imesaidia kupunguza adha ya mafuriko lakini pia katika barabara zetu tumeweka taa na kupunguza uhalifu na sasa ukabaji umeisha. Wananchi nao wameongeza shughuli zao sasa wanafunga maduka saa tano au saa sita usiku,” amesema.
Amesema miradi hiyo pia imeongeza thamani ya mali kwa wananchi wa Temeke ikiwamo nyumba za makazi ambazo zimeboreshwa na nyingine kujengwa mpya za kisasa tofauti na awali.
“Hayo yote ni kwa sababu pamefikika hasa ikizingatiwa mradi umelenga kufanya maboresho kwenye makazi ya wananchi wenye kipato cha chini.
“Ingawa tulipata changamoto kidogo kwani tulipokuwa tunaipita na mitambo yetu, nyumba zilipata mtikisiko na ufa, lakini tulikuwa tunajitahidi kuzikarabati ili tuwaache kwenye hali zao nzuri,” amesema.
Aidha, amewasihi wananchi wanaonufaika na miradi hiyo kuitumia kujiendeleza kijamii na kiuchumi na kuongeza kuwa ni jukumu lao kuilinda na kutoa taarifa pale kunapotokea hujuma.
Akizungumzia baadhi ya miradi hiyo, Katibu wa Soko la Mtoni mtongani ambalo limekarabatiwa kupitia DMDP, Rajabu Hamis Jongo amesema soko hilo lililokuwa limejengwa miaka 1974 na Serikali ya awamu ya kwanza, sasa limekuwa lulu kwa wafanyabiashara wa eneo hilo.
Pamoja na kuwa na soko la kisasa, ameomba Serikali kuboresha njia ili daladala zipite katika sokoni hilo na kuwezesha wateja kushuka na kununua bidhaa.
Aidha, Meneja masoko manispaa Temeke, Anzamen Mandari, mbali na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa kipaumbele kwa Manispaa hiyo kunufaika na miradi hiyo, pia amesema hadi jumla wafanyabiashara 228 katika soko hilo la Mtongani wamenufaika tangu lilipofunguliwa Mei mwaka jana.
May be an image of 4 people, outdoors, tree and text that says 'KITUO CHA AFYA BUZA'
May be an image of 4 people and food
May be an image of outdoors
May be an image of 3 people, sky and tree
May be an image of 17 people and sky
Tags: OFISI YA RAIS TAMISEMI
ADVERTISEMENT
Previous Post

PROF. MAKUBI ATAKA WANANCHI WAJUE UMUHIMU WA CHANJO

Next Post

Waziri Mkuu: Msirekodi matukio na Kuweka Mitandaoni, Pelekeni Mamlaka Husika

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

by ALFRED MTEWELE
March 23, 2023
0

Msemaji wa Ikulu ya Marekani Karine Jean-Pierre ameonya Wabunge wa Bunge la Uganda kwamba vikwazo vitakavyowazuia kufanya biashara na Marekani...

Read more
UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

March 23, 2023
ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

March 23, 2023
NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

March 23, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Machi 23,2023

March 23, 2023
RAIS WA ZAMBIA ANYESHEWA AKIKAGUA GWARIDE

RAIS WA ZAMBIA ANYESHEWA AKIKAGUA GWARIDE

March 22, 2023
Load More
Next Post
Waziri Mkuu: Msirekodi matukio na Kuweka Mitandaoni, Pelekeni Mamlaka Husika

Waziri Mkuu: Msirekodi matukio na Kuweka Mitandaoni, Pelekeni Mamlaka Husika

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MKE WA DR. MWAKA AJIONDOKEA BILA TALAKA

MKE WA DR. MWAKA AJIONDOKEA BILA TALAKA

March 21, 2023
MMFL YAFAFANUA KUHUSU TUHUMA ZA MBOLEA

MMFL YAFAFANUA KUHUSU TUHUMA ZA MBOLEA

March 16, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Machi 20,2023

March 20, 2023
HAALAND KUIKOSA HISPANIA

HAALAND KUIKOSA HISPANIA

March 21, 2023
MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

March 23, 2023
WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

March 23, 2023
UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

March 23, 2023
ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

March 23, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In