ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Wednesday, May 31, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM

    MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

    YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

    YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 31, 2023

    WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

    IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

    TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

Waziri Mkuu: Msirekodi matukio na Kuweka Mitandaoni, Pelekeni Mamlaka Husika

Dodoma

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
February 2, 2023
in NEWS
Reading Time: 3 mins read
A A
0
Waziri Mkuu: Msirekodi matukio na Kuweka Mitandaoni, Pelekeni Mamlaka Husika
0
SHARES
4
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

ImageWAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii kutojihusisha na kurekodi mattukio na kurusha mitandaoni bali wapeleke katika mamlaka husika ili hatua za kisheria ziweze chukuliwa dhidi ya wahusika.

Majaliwa ameeleza hayo leo Bungeni jijini Dodoma akitolea ufafanuzi juu ya Makosa ya Walimu kutoa Adhabu kali kwa wanafunzi ambazo zinaweza wapelekea kupata majeraha ya kudumu au athari kubwa zaidi za kiafya.

Hilo limezungumziwa kwa kuhusianiswa na tukio lililojitokeza hapo siku chache kupitia klipu ya Video iliyovuma sana ikimuonesha Mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya huko mkoan Kagera akimuadhibu Mwanafunzi vikali na huku akiwa amemkanyaga katika sehemu ya mguuni.

Kitendo hicho kilipelekea hali ya taaruki kwa jamii nzima nchini kuona mtoto mdogo akipatiwa adhabu kuzidi hata umri wake, ndipo serikali ikaingilia kati kwa kutoa tamko la kumsitisha kazi Mwalimu huyo na hatua nyingine za kisheria ziweze chukuliwa dhidi yake.

Zifuatazo zilikuwa ni sehemu ya nukuu za Waziri Mkuu Majaliwa pindi alipokuwa anatolea ufafanuzi  kuhusiana na suala hilo;

“Nitoe wito kwa jamii hasa wale wanaochukua au kupata matukio ya wanafunzi na kuyarusha kwenye mitandao kutofanya hivyo kwani yanajenga chuki kwa walimu na taswira hasi kwa walimu wote badala ya wahusika wachache”-Waziri mkuu

@KassimMajaliwa_
“Nitoe wito kwa jamii kutobeza juhudi zinazofanywa na walimu kote nchini badala yake tuwatie moyo hata wale wanaozingatia miiko ya taaluma zao na misingi ya malezi”-Waziri Mkuu

@KassimMajaliwa_
“Hivi karibuni tumeshuhudia kupitia vyombo vya habari vitendo vya adhabu kali dhidi ya wanafunzi kwa baadhi ya shule, adhabu hizo zimefanywa na baadhi ya walimu walio na mafunzo,serikali haitafumbia macho wala kukubaliana na aina hiyo ya adhabu kali”-Waziri Mkuu

@KassimMajaliwa_
Tags: OFISI YA WAZIRI MKUU
ADVERTISEMENT
Previous Post

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Next Post

Kocha Robertinho: “Tunategemea Kupanga Kikosi Kamili”

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM
NEWS

by ALFRED MTEWELE
May 31, 2023
0

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa kadi zake mpya za kielekroniki za zitaweza kutumika kama kadi ya kufanyia miamala ya...

Read more
MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

May 31, 2023
YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 31, 2023

May 31, 2023
WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

May 31, 2023
IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

May 31, 2023
TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

May 30, 2023
Load More
Next Post
Kocha Robertinho: “Tunategemea Kupanga Kikosi Kamili”

Kocha Robertinho: "Tunategemea Kupanga Kikosi Kamili"

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 29, 2023

May 29, 2023
YANGA IMELOWA VS USM ALGER

YANGA IMELOWA VS USM ALGER

May 28, 2023
RC MALIMA ATAKA ULANGA IFUNGUKE KIFURSA

RC MALIMA ATAKA ULANGA IFUNGUKE KIFURSA

May 26, 2023
POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

May 30, 2023
CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM

CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM

May 31, 2023
MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

May 31, 2023
YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 31, 2023

May 31, 2023
WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

May 31, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In