Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na Benki ya @NMBTanzania leo Februari 03,2023 wamekabidhi ticket za ndege kwa Viongozi 12 kwenda Nchini Rwanda Kwa ziara ya mafunzo, makabidhino ya ticket hizo yamefanyika katika Ukumbi wa DMDP Ilala Jijini Dar es Salaam.
Benki hio imefanya hivyo ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za serikali katika kuleta chachu ya Maendeleo ya Nchi kiujumla.