ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Friday, March 24, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

    WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

    UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

    UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

    ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

    ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

    NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

    NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Machi 23,2023

    RAIS WA ZAMBIA ANYESHEWA AKIKAGUA GWARIDE

    RAIS WA ZAMBIA ANYESHEWA AKIKAGUA GWARIDE

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

Dodoma

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
February 3, 2023
in NEWS
Reading Time: 3 mins read
A A
0
SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO
0
SHARES
1
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
May be an image of 7 people, people sitting and people standing
Serikali imetoa siku saba kwa maeneo yote yanayofanya uchafuzi wa mazingira unaotokana na kelele na mitetemo kurekebisha changamoto hiyo na kulielekeza Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuyafungia maeneo yatakayokaidi maelekezo hayo.
Aidha Serikali imewataka wamiliki wa maeneo ya burudani, starehe na nyumba za ibada kuzingatia matumizi ya vipima kelele na vizuia sauti ili kuhakikisha jamii zinazozunguuka maeneo hayo haziathiriwa na kelele wanazozisababisha.
Hatua hiyo imekuja kutokana na kuongezeka kwa malalamiko ya kelele na mitetemo ambapo mwaka 2021/2022 asilimia 65 ya malalamiko yaliyowasilishwa NEMC yanahusu kelele na mitetemo, hali inayoonesha adhabu za kutozwa faini kwa wanaokamatwa zimezoeleka na hazitoshi.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 03, 2023 jijini Dodoma.
Mhe. Jafo mesema kwa mujibu wa Sheria ya Mazingira Sura ya 191, Kifungu cha 106 (5 na 6) kinakataza kupiga kelele kuzidi viwango vilivyoruhusiwa , vilevile ni kosa kupiga kelele kinyume na kibali kilochotolewa kwa shughuli na mahali husika.
Hata hivyo uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na kelele na mitetemo ni miongoni mwa kero kubwa inayohatarisha afya ambapo Shirika la Afya Duniani (WHO) limebainisha kelele kuwa ni mojawapo ya vitu hatarishi katika maisha ya binadamu na kwa mujibu wa “European Environmental Agency” (EEA, 2018) kelele ni kisababishi cha vifo vya mapema kwa watoto “Pre-mature death”.
“Kanuni za udhibiti wa kelele na mitetemo za mwaka 2015, zimeainisha viwango vya sauti vinavyoruhusiwa kwenye maeneo ya makazi, biashara, viwanda na hospitali. Kusudi la kanuni hizi ni kulinda afya ya jamii hivyo, nitoe wito kwa wananchi kutoa taarifa kuhusu kelele na mitetemo kwenye ofisi za Serikali za Mitaa au ofisi za NEMC,” amesema Mhe. Jafo
Aidha, Dkt. Jafo amezitaka Wizara za kisekta, Taasisi za umma, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha zinatekeleza majukumu yao yaliyoainishwa kwenye mwongozo wa udhibiti wa uchafuzi wa mazingira utokanao na kelele na mitetemo wa mwaka 2021.
Itakumbukwa Julai 29, 2019 Serikali ilielekeza kuwa wadau wote wanaohusika kuhakikisha wanazingatia sheria na miongozo inayodhibiti uchafuzi wa mazingira unaotokana na kelele na mitetemo na pia hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa wale ambao shughuli zao zinasababisha kelele kuzidi viwango vilivyoainishwa.
Hatua za kisheria zilizoainishwa kwenye sheria ni pamoja na kutozwa faini na kufungiwa biashara kwenye maeneo yaliyokithiri kwa kelele na mitetemo.
May be an image of 7 people, people sitting, people standing and indoor
Tags: OFISI YA MAKAMU WA RAIS
ADVERTISEMENT
Previous Post

PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

Next Post

Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

by ALFRED MTEWELE
March 23, 2023
0

Msemaji wa Ikulu ya Marekani Karine Jean-Pierre ameonya Wabunge wa Bunge la Uganda kwamba vikwazo vitakavyowazuia kufanya biashara na Marekani...

Read more
UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

March 23, 2023
ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

March 23, 2023
NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

March 23, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Machi 23,2023

March 23, 2023
RAIS WA ZAMBIA ANYESHEWA AKIKAGUA GWARIDE

RAIS WA ZAMBIA ANYESHEWA AKIKAGUA GWARIDE

March 22, 2023
Load More
Next Post
Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MKE WA DR. MWAKA AJIONDOKEA BILA TALAKA

MKE WA DR. MWAKA AJIONDOKEA BILA TALAKA

March 21, 2023
MMFL YAFAFANUA KUHUSU TUHUMA ZA MBOLEA

MMFL YAFAFANUA KUHUSU TUHUMA ZA MBOLEA

March 16, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Machi 20,2023

March 20, 2023
HAALAND KUIKOSA HISPANIA

HAALAND KUIKOSA HISPANIA

March 21, 2023
MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

March 23, 2023
WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

March 23, 2023
UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

March 23, 2023
ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

March 23, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In