Kampuni nya Mawasiliano Tigo Tanzania imeanza safari yake rasmi ya kwenda Wilaya ya Kahama, Mkoani Shinyanga ili kuweza kumkabidhi mshindi wake wa Promosheni ya droo kubwa ya NDINGA LA KISHUA ikiwa siku chache tu alitokea kutangazwa.
Mshindi huyo alilipotiwa kuwa anaishi Wilayani humo, Mkoa wa Geita hivyo alikabidhiwa kwa awamu ya kwanza katika ofisi za Tigo jijini Dar es Salaam na sasa imepangwa siku ya kuanza kuelekea kuweza kuifikisha gari hio aina ya TOYOTA RUSH 0Km kwa muhusika.
Msafara huo umeambatana na sehemu ya Maofisa wa Idara ya juu na baadhi ya Wafanyakazi ii kushiriki ukabidhiano huo rasmi.