Real Madrid wanafikiria kumnunua mshambuliaji wa Manchester City na Norway Erling Haaland, 22, msimu wa joto kama sehemu ya mpango wa kuleta kizazi kipya cha nyota wachanga katika timu hio.
Nia hio pia inamjumuisha pamoja na kiungo wa kati wa Borussia Dortmund na Uingereza Jude Bellingham, 19. (Independent).
Dhamira hio huenda ikaleta chachu ya mabadiliko ya wachezaji katika kikosi hicho na kupelekea kusalia na nyota wengi walio na umri wa chini zaidi,