Kocha Mkuu wa timu ya taifa,”Taifa Stars”, Adel Amrouche ametaja kikosi chake cha kwanza cha timu ya taifa kitakachoshuka dimbani kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2023
Aidha katika orodha hio pia Jina la Mchezaji anayesadikika kuwa bado Mchezaji rasmi wa Yanga SC, Feisal Salum alimaarufu kama “FEI TOTO” ametajwa kuwa ni miongoni wa wachezaji wa Kuitumikia timu ya Taifa katika msimu wa michuano hio ya AFCON 2023.