Mkurugenzi Mtendaji wa UN Global Compact Network Tanzania, Bibi Marsha Macatta-Yambi (kushoto), akikabidhi hati ya Kanuni za Uwezeshaji Wanawake (WEP) kwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic, Kevin Wingfield (kulia), katika halfa ya Kupigia Kengele kwa ajili ya usawa wa kijinsia iliofanyika wakati wa kuadhimisha siku ya wanawake Duniani hivi karibuni, Dar es Salaam. Benki hiyo ilitia saini kanuni za WEP, ambazo zitaisaidia kuongeza juhudi za kuleta usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake.
TADB Bank Tanzania Agricultural Development Bank Customer Service Officer Job Vacancies at TADB Full Time Dar es Salaam ABOUT TANZANIA AGRICULTURAL DEVELOPMENT...